kujiunga na Timu hii ya Misri,Simba wathibitisha
Klabu ya Simba kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii imeandika habari kuhusiana na Kuwa katika hatua za Mwisho kumalizana na Klabu ya Pharco ya nchini Misri kuhusu Shiza Kichuya Kuungana na Timu hiyo.
Timu hiyo ni ya Mji ambao Simba imeifata Al Ahly mji wa Alexandria na inashiriki ligi daraja la pili nchini Misri.
Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya Pharco ya nchini Misri kuhusu mchezaji Shiza Kichuya kwenda kujiunga na timu hiyo. Taarifa zaidi itatolewa baadae baada ya taratibu zote kukamilika.
0 Comments