Windows

Abdul, Yondani, Metacha waripoti kambini Kili Stars



Wachezaji watatu wa Yanga Metacha Mnata, Juma Abdul na Kelvin Yondani wameungana na wachezaji wengine kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' inayojiandaa na michuano ya CECAFA Challenge itakayofanyika nchini Uganda kuanzia mwishoni mwa wiki

Nyota hao wamejiunga na Kili Stars leo baada ya jana kumaliza majukumu ya kuitumikia Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC



Kili Stars inatarajiwa kuelekea Uganda keshokutwa Alhamisi

Yanga imetoa wachezaji saba, wanne wakiitwa Zanzibar Heroes

Nyota hao ni Ally Ally, Mohammed Issa 'Banka', Feisal Salum na Abdulaziz Makame 'Bui'



Kwa habari zaidi Download App ya soka kiganjani kutoka Play Store

Post a Comment

0 Comments