Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 14.06.2021: Coutinho, Cornet, Kane, Bellingham, Silva, Lingard, Fekir, Buffon

Klabu ya Leicester City imepanga kumsajili kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho (29), ingawa bado haijapeleka ofa rasmi, mbweha hao wako kwenye mazugumzo ya kumnasa Mbrazili huyo ikiwezekana kwa ada ya £17m au kwa mkopo.

Post a Comment

0 Comments