Windows

Christian Eriksen: Baadhi ya walioanguka uwanjani ni Fabrice Muamba, Marc-Vivien Foe, Cheick Tiote

Christian Eriksen alipata mshtuko wa moyo alipoanguka uwanjani akiwa anachezea nchi yake ya Denmark dhidi ya Finland katika mechi za kuwania kombe la Euro 2020, alisema daktari wa timu yake Morten Boesen.

Post a Comment

0 Comments