Windows

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 28.01.2022:Vlahovic, Diaz, Guimaraes, Xhaka, Broja, Luiz, Lingard, Meunier

Juventus wamekubali kumsajili mshambuliaji wa Fiorentina na Serbia Dusan Vlahovic, 21, ambaye amekuwa akihusishwa na Arsenal, kwa mkataba wa thamani ya £62.4m. (Mail, via Guardian)

Post a Comment

0 Comments