Windows

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 27.01.2022:Muller, Haaland, Dybala, Guimaraes, Broja, Lingard, Ndombele

Mshambuliaji wa Bayern Munich na Ujerumani Thomas Muller amezivutia Newcastle United na Everton, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 akikaribia mwaka wa mwisho wa kandarasi yake na timu hiyo ya Bundesliga.

Post a Comment

0 Comments