Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 29.01.2022: Aubameyang, Raphinha, Sterling, Eriksen, Loftus-Cheek, Nketiah

Barcelona na Juventus wamewasilisha ombi rasmi la kutaka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang 32 kwa mkopo kwa kipindi cha msimu kilichosalia.(Athletic - subscription required)

Post a Comment

0 Comments