Mshambuliaji David Molinga atajumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo kinachoelekea mkoani Kigoma
Yanga inatarajiwa kusafiri mkoani Kigoma leo ambako itacheza mechi mbili za kirafiki ikiwa ni sehemu maandalizi kuelekea mechi ya kombe la FA na ligi kuu
Mpaka kufikia jana, Molinga hakuwa amepata VISA kumuwezesha kusafiri kwenda DR Congo
Molinga aliahidi kurejea kikosini kama mchakato wake wa VISA utakwama
Ndiye mshambuliaji pekee aliyebaki kwenye kikosi cha Yanga baada ya mabingwa hao wa kihistoria kuvunja mikataba ya washambuliaji Sadney Urikhob na Juma Balinya
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.
0 Comments