

Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amewapa wachezaji mapumziko ya siku mbili baada ya mchezo dhidi ya KMC
Kikosi cha Yanga kitarejea mazoezini siku ya Alhamisi kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa mwakani January 04 2020
Aidha wakati huu ambao nyota wengi wa timu hiyo wanakabiliwa na majukumu ya michuano ya Chalenji, baadhi ya wachezaji wa Yanga B watajumuishwa kwenye kikosi cha kwanza
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.



0 Comments