beki wa kulia wa Yanga Paulo Godfrey 'Boxer' ameanza rasmi mazoezi kamili ya kikosi cha kwanza baada ya kupona majeraha
Boxer alianza mazoezi mepesi wiki iliyopita ikiwa ni program maalum ya kumuandaa kurejea kikamilifu
Leo ameshiriki mazoezi yaliyofanyika uwanja wa Uhuru akiwa na wachezaji wengine
Boxer amerejea wakati muafaka kuelekea mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Simba ambao utapigwa Januari 04 2020
0 Comments