Windows

Balaa la Samatta Champions League, Rekodi Alizoandika ni Hizi

 
Licha ya Klabu yake ya KRC Genk kufungwa mabao 6-2, nahodha wa Taifa Stars ameweka rekodi ya aina yake ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza na kufunga goli kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya!

Katika mechi hiyo iliyokuwa ikifuatiliwa na maelfu ya Watanzania dunaini kote, imechukua dakika 53 kwa Samatta kupata goli lake la kwanza kwenye Uefa Champions League akiifunga RB Salzburg katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi hiyo kubwa duniani.
The striker has now scored on his debut, as well as becoming the first Tanzanian to feature in Europe’s prestigious club competition.

Three records tumbled for Tanzania captain Mbwana Samatta as Genk got spanked 6-2 by Salzburg in Tuesday’s Champions League fixture. Samatta shook off a knee injury to make ‎Felice Mazzu’s squad for the clash staged at the Wals-Siezenheim stadium.

 

In the process, he wrote his name in the history books being the first Tanzanian to feature in the Uefa Champions League.

His maiden appearance went sour as Erling Haland’s hat-trick gave the hosts a 5-1 advantage at half-time with Jhon Lucumi getting his club’s lone goal.

However, he got something to cheer about after scoring his side’s second goal of the evening after 52 minutes.

With that, he also became the first Tanzanian to score a Champions League goal as well as the first man from the East African nation to make a scoring debut in the tournament.

Salzburg completed the rout with their sixth goal courtesy Andreas Ulmer to begin this season’s campaign on a blazing note.

Fellow debutant Dieumerci Ndongala made way for Ianis Hagi in the 72nd minute, while Nigeria international Paul Onuachu got his first feel of the championship after coming in for Bryan Heynen five minutes from full time.

The Smurfs will be hoping for redemption when they host Napoli in their first home fixture on October 2.

Dakika ya 80, Samatta alipigwa kadi nyekundu na kuondoa matumaini ya Watanzania lakini refa alipokwenda kutazama kwenye mfumo wa VAR akagundua kosa lile halikupaswa kadi nyekundu hivyo akampa kadi ya njano.

 

Matokeo yalikuwa hivi: RB Salzburg 6-2 KRC Genk (Haland 2′ 34′ 44′
Hwang 36′
Szoboszlai 45+2′
Ulmer 66′) (Lucumi 40′
Samatta 52′).

Tanzania ni ya Mbwana Samatta, Tanzania ni ya Mbagala na Tanzania ni mtu mmoja linapokuja suala la soka kwenye nyanja za kimataifa. Mbwana Samatta ndiye aliyebeba ndoto za nchi hii katika kuwanyanyua na kutoa mwanya utakaowaruhusu watanzania wengine kunufaika, kufika mbali kupitia soka.

Ni ndugu yetu ambaye miguu yake tangu akiwa na Simba mpaka TP Mazembe aliijengea urafiki na nyavu na mahusiano yao yakawa imara kuliko marafiki wengi alionao mpaka ikampatia visa ya Ubelgiji na sasa yuko na klabu ya KRC Genk.

Mchezaji bora wa Afrika wa wachezaji wa ndani mpaka mchezaji bora mwenye asili ya Afrika anayecheza ligi ya Ubelgiji, yote yaliyoandikwa na yote yakawa sehemu ya ndoto ya taifa na ndoto zake binafsi.

Hata hivyo inawezekana kabisa yote haya kwa pamoja yalikuwa aina ya mapishi huku chakula pekee watanzania walitamani kukila kutoka kwake ikawa ni ligi 5 kubwa. Chakula ambacho wanaweza kukipata kwa urahisi kutoka sebuleni kwao kupitia runinga, chakula ambacho kinafuatiliwa duniani kote, yaani ligi kuu ya England, Hispania, Ujerumani, Ufaransa na Italia.

Kila mtu alitamani kuona Samatta akikimbizana kwenye magoli na Aubameyang, Salah na Mane. Acheze mechi na Ronaldo na kila mmoja afunge au afunge goli kwenye mchezo ambao Messi hatofunga kabisa na pia afunge goli ambalo lingeweza kumkera Neymar pale Ufaransa.

Haya ni maisha ya ndoto, maisha ambayo watanzania tumeungana kwa maombi tukihitaji baraka juu ya Mbwana ili afike mbali huku yote haya yakuonekana kutowezekana walau kwa msimu huu hata baada ya msimu uliopita kumfunga Karius kipa wa zamani wa Liverpool.

Kuna nafasi kubwa ziaidi kwa Mbwana Samatta, fursa bora zaidi kama utakuwa na kiwango cha msimu uliopita, bahati nzuri kaanza msimu kwa kasi ileile na sasa mwaka huu kikombe cha dhahabu kipo mbele yake kinaitwa klabu bingwa barani Ulaya.

The post Balaa la Samatta Champions League, Rekodi Alizoandika ni Hizi appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments