Baadhi ya wanachama wa NMB wameilalamikia mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwa kuingilia akaunti zao  na kuzifunga bila kuwapa taarifa wenye akaunti hizo.

akizungumza katika kikao cha Mwaka cha wanachama wa bank hiyo [NMB BUSSINESS CLUB} Meneja wa NMB tawi la Babati Francis Kasili amesema wanalinda akaunti ya mteja bila kutoa siri lakini kuna mamlaka ambazo zinaruhusiwa kuingilia akaunti ya mtu yeyote na kufanya chochote.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE