Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Bunge na Sera, Eng. Mohammed Ngulangwa ambaye pia ni mmoja wa viongpozi wa msafara wa kutembelea chama katika mkoa wa Lindi, amefunguka sabau ya kukamatwa na polisi Ijumaa hii katika eneo la Kilwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE