Naibu Waziri wa Afya Mhe. Li Bin wa China amewasili nchini Tanzania hapo jana akiongozana na ujumbe wa viongozi wandamizi kutoka nchini China.
Akiwa hapa nchini ugeni huo utaambatana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu katika ziara ya kutembelea mradi wa Malaria wilayani Rufiji na baadae kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
0 Comments