Windows

Yanga U20 kuumana na Azam fc nusu fainali ligi ya vijana


Michezo ya hatua ya nusu fainali ya ligi kuu ya Vijana u20 inapigwa leo kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam

Yanga iliyotinga hatua hiyo kwa kuibuka kinara wa kundi A, itaumana na Azam Fc katika mchezo wa mapema utakaopigwa saa 10 jioni

Mtibwa Sugar na Simba zitamenyana kwenye mchezo wa pili utakaopigwa saa moja jioni

Post a Comment

0 Comments