Windows

Yanga Princess yanasa watatu usiku usiku


Uongozi wa klabu ya Yanga umenza kukiboresha kikosi cha kinadada cha timu hiyo 'Yanga Princess' baada ya kukamilisha usajili wa wachezaji watatu jana jioni

Waliosaini mikataba na kulipwa 'mkwanja' wao kabisa ni Irene Kisisa, Fatma Makusanya na Hamisa Hussein

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema wamedhamiria kuunda kikosi imara ambacho kitatwaa ubingwa ligi kuu ya Wanawake msimu ujao

Msimu uliomalizika haukuwa mzuri kwa Yanga Princess, ilimaliza kwenye nafasi ya nane

Post a Comment

0 Comments