MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge ameagiza kuhojiwa na Polisi mtendaji wa kijiji cha Mbabala A mara aada ya mama mmoja kumlalamikia kuhusika na kumtorosha kijana aliyekuwa akiishi na binti yake kinyume na sheria
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE
0 Comments