Windows

Mapenzi Yampoteza Mazima Pretty Kind

Mwigizaji wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ ameibuka na kueleza sababu ya kupotea mazima kwenye ulimwengu wa sanaa kuwa ni mapenzi.

Akizungumza na Gazeti la ijumaa, Pretty alisema kwa muda mrefu amekuwa kimya kwenye sanaa ya filamu na muziki kutokana na kutumia muda mwingi kwenye mapenzi hivyo kwa sasa amekoma kuingia kwenye mapenzi ya kukurupuka kwani siyo mazuri.

“Nimepotezwa sana na mapenzi na nimechoka kukurupuka hivyo sasa nasubiri mtu sahihi na kurudi rasmi kwenye sanaa kwa hiyo nitarudi hivi karibuni,” alisema Pretty.

KAULI ya HASSAN KESSY Baada ya KUFUNGWA – “SENEGAL WAKUBWA”

The post Mapenzi Yampoteza Mazima Pretty Kind appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments