

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kinashuka dimbani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya Gwambina Fc wilayani Misungwi mkoani Mwanza
Mchezo huo ni maalum kwa ajili ya ufunguzi wa uwanja wa timu hiyo ya daraja la kwanza
Mashabiki wa Simba leo huenda wakawashuhudia baadhi ya nyota wapya waliosajiliwa hivi karibuni kwenye mchezo huo utakaorushwa mbashara na Azam Sport 2



0 Comments