Windows

IRENE PAUL AMKATAA MONDI

Msanii wa filamu za Kibongo, Irene Paul, amemkataa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa kusema hawezi na hatarajii kuwa Team Mondi kama watu wanavyofikiri.  Akizungumza na Za Motomoto juzikati katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar, Irene alisema katika ushabiki wa wasanii wakubwa Bongo kwa upande wake hana timu yeyote kilichopo kwake ni kumshabikia yeyote kati yao anapofanya vyema kwa kipindi husika.

“Hivyo nipende kusema mimi sio Team Diamond kama wengi wanavyonifikiri kwanza sina timu yeyote katika muziki,” alimaliza kusema Irene

The post IRENE PAUL AMKATAA MONDI appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments