Windows

Diamond Kushindanishwa na Harmonize “Ni MTOTO, Sipendi MAJUNGU” – Video

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesema kitendo cha watu kumshindanisha na Mwanamuziki wake HARMONIZE, kinamshangaza sana na kumpa nguvu ya kuona kwamba wanamuziki wengine wameishiwa na ndio maana wameanza kumshindanisha na ‘watoto wake’.

Diamond amesema hayo jana akiwa Airport Jijini Mwanza wakati akiwasili kutokea Dar tayari kwa safari ya kuelekea Kahama Shinyanga kukinukisha.

Diamond Platnumz, amesema wakazi wa Kahama na vitongoji vyake wakae mkao wa kula kupokea burudani atakayogonga katika Uwanja wa Taifa mjini Kahama leo Jumatano, Juni 5, 2016.

 

TAZAMA MONDI AKIFUNGUKA

The post Diamond Kushindanishwa na Harmonize “Ni MTOTO, Sipendi MAJUNGU” – Video appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments