UONGOZI wa Simba leo umemtangaza aliyekuwa mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanya kujiunga na kikosi hicho msimu ujao kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili.
Kakolanya alivunja mkataba wake na Yanga kwa kudai stahiki zake.
Simba sasa inakuwa na magolikipa watatu ambao ni pamoja na Aishi Manula na Deogratius Munishi.
The post EXCLUSIVE: SIMBA YAMTANGAZA BENO KAKOLANYA appeared first on Global Publishers.
0 Comments