TIMU ya Polisi Tanzania itakayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao imemtambulisha rasmi Selemani Matola kuwa kocha wake msaidizi.
Matola ambaye ni kiungo wa zamani wa Simba, alikuwa kocha msaidizi wa Lipuli FC kwa misimu miwili iliyopita akiiwezesha kumaliza nafasi ya sita na kufika fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports msimu uliopita.
The post BREAKING: MATOLA KOCHA MSAIDIZI POLISI TANZANIA appeared first on Global Publishers.
0 Comments