

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' jana alikutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi la Simba
Mo alijadiliana mambo mbalimbali na wadau hao namba moja wa klabu ya Simba
Simba imeingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Ndanda utakaopigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Uhuru



0 Comments