Windows

MESSI APIGA MBILI BARCELONA IKIIUA 3-0 LIVERPOOL NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA

Muargentina Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika za 75 na 82 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Liverpool usiku wa jana kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Camp Nou. Bao la kwanza alifunga mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay, Luis Suarez akiiadhibu timu yake ya zamani dakika ya 26 na sasa Liverpool watatakiwa kushinda 4-0 Mei 7 Uwanja wa Anfield ili kupindua matokeo waende Fainali ambako watakutana na mshindi wa jumla kati ya Ajax na Tottenham PICHA ZAIDI SOMA HAPA


Post a Comment

0 Comments