Simba yatozwa faini ya milioni 3
KLABU ya Simba imetozwa faini ya sh. 3,000,000 (milioni tatu) kwa kuingia uwanjani wakitumia mlango usio rasmi, lakini vilevile kutotumia njia maalum iliyowekwa kwa ajili ya kuingia kwenye eneo la kuchezea (pitch). Adhabu imetolewa kwa kuzingatia Kanuni ya 14(49) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo
0 Comments