Windows

Kocha Uganda ataja wachezaji watakaoivaa Taifa Stars


Kocha Mkuu wa Uganda Sebastien Desabre amewaita wachezaji 46 katika kikosi cha awali ambao watachujwa na kubaki 23 ambao watacheza mechi dhidi ya Tanzania.
Katika list hiyo kuna wachezaji 15 ambao wanacheza soka nje ya Uganda wakiwemo Emmanuel Okwi na Juuko Murshid Wanaocheza Simba Tanzania na Nicolas Wadada wa Azam Fc
Huku wachezaji wengine wasio na timu kwasasa wakialikwa kufanya mazoezi na wenzao wakati wa Mchujo.
List kamili iko hivi.
Wachezaji 15 wanaocheza nje ya Uganda
Denis Onyango (Mamelodi Sundowns, South Africa), Jamal Salim (Al Hilah Omdruman, Sudan),  Robert Odongkara ( Adama City FC, Ethiopia),  Murushid Juuko (Simba, Tanzania), Denis Iguma ( Kazma, Kuwait), Nico Wakiro Wadada Azam FC, Tanzania), Herbert Bockhorn (Borussia Dortmund, Germany),  Moses Opondo (VendsysselFF, Denmark), Joseph Ochaya (TP Mazembe, DR Congo),  Khalid Aucho (Church Hill Brothers, India), Faruku Miya (Gorica, Croatia), Edris Lubega (SV Reid, Austria), Emmanuel Okwi (Simba, Tanzania), Karisa Milton (MC Oujda, Morocco), Muhammad Shaban (Raja Casablanca, Morocco)
Wachezaji 31 wanaocheza ligi za Ndani
Nicholas Sebwato (Onduparaka Fc), Saidi Keni (Sc Villa), James Alitho (URA FC), Charles Lukwago (KCCA FC), Filbert Obenchan (KCCA FC), Paul Willa (Police FC), Samson Mutyaba (Maroons FC), Mustafa Kizza (KCCA FC), Majwega Brian (Maroons FC), Timothy Awanyi (KCCA FC), Paul Mbowa Baker (URA FC), Mujuzi Musitafa (Proline FC), Halid Lwaliwa (Vipers SC), Rashid Toha ( Onduparaka FC), Ibrahim Sadam Juma (KCCA FC), Ivan Eyam (Mbarara City FC), Taddeo Lwanga (Vipers SC), Okello Allan (KCCA FC), Waisswa Moses (Vipers SC), Bright Anukani (Proline FC), Owori David (Sc Villa), Allan Kyambadde (KCCA FC), Micheal Birungi (Express FC), Julius Poloto (KCCA), Juma Balinya (Police FC), Serunkuma Daniel (Vipers SC), Patrick Henry Kaddu (KCCA FC), Joel Madondo (Kirinya-Jinja SS), Bashir Mutanda (Sc Villa)
Wachezaji wasio na Timu kwasasa
Godfrey Walusimbi and Hassan Wasswa Mawanda (Unattached)

Post a Comment

0 Comments