Manchester United wako tayari kupambana na Paris St-Germain wakimtumia winga wao kutoka timu ya Borussia Dortmund Jadon Sancho, mwenye umri wa miaka 18-ambaye anatazamiwa kuwa mchezaji wa kwanza wa England kulipwa pauni £100m. (Telegraph)
Manchester City wako tayari kusaini mkataba na Mreno Bernardo Silva mwenye umri wa miaka , 24, anayechezea safu ya kati. (Sky Sports)
Juventus wanataka kumchukua winga wa Real Madrid
Crystal Palace wanamtaka mlindalango wa timu ya England ya Stoke Jack Butland, ambaye ana umri wa miaka 25. (South London Press)
Barcelona, Real Madrid na Chelsea watalazimika kuwa na subira ya kusaini mkataba na mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt na Serbia striker Luka Jovic, 21, kulingana mkurugenzi wa klabu hiyo Fredi Bobic. (Sky – in German)
Juventus wanataka kumchukua winga wa Real Madrid Marco Asensio, mwenye umri wa miaka 23, baada ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania kuwekwa benchi katika mchezo wa Jumamosi ambapo El Clasico ilishindwa na Barcelona. (Tuttosport – in Italian)
Seamus Coleman amemuunga mkono bosi wake Marco Silva, kuelezea haja ya “kuwapa watu muda wa kutekeleza nmtindo wao wa mchezo
Bayern Munich wanamlenga winga wa Arsenal mwenye umri wa miaka 18 Xavier Amaechi, ambaye alichezea kikosi cha vijana wadogo cha England. (FootballLondon)
Arsenal wanatarajia kutuma ujumbe wao hadi Roma kwa mazungumzo kwa ajili ya winga Mturuki Cengiz mwenye umri wa miaka 21, ambaye kwa sasa yuko fiti. (Calciomercato – in Italian)
Tottenham wanaangalia uwezekano wa hatua ya kumchukua Kion Etete wa Notts mwenye umri wa miaka 17 . (mail)
Kaimu mkurugenzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anakodisha nyumba yake ya Cheshire kwa mchezaji wa safu ya ulinzi ya Liverpool na Uholanzi Virgil van Dijk
Mchezaji wa safu ya ulinzi ya Everton Seamus Coleman amemuunga mkono bosi wake Marco Silva, kuelezea haja ya “kuwapa watu muda wa kutekeleza mtindo wao wa mchezo “. (Talksport)
Mchezaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 20-year- raia wa Norway anayecheza safu ya kati Martin Odegaard,ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo katika timu ya Vitesse, anaweza kujiunga na Ajax kwa mkopo msimu ujao. (AS – in Spanish)
Kaimu mkurugenzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anakodisha nyumba yake ya Cheshire kwa mchezaji wa safu ya ulinzi ya Liverpool na Uholanzi Virgil van Dijk, mwenye umri wa miaka 27. (Sun)
Kocha wa Real Madrid Santiago Solari apuuza uvumi uliomuhusisha Jose Mourinho na kazi yak
mchezaji maarufu wa zamani wa Arsenal Robert Pires anaamini kuwa ni “vigumu kuona ” Mkurugenzi wa Chelsea Maurizio Sarr katika Stamford Bridge msimu ujao, na kwamba itakua ni “habari nzuri sana ” kama taarifa za tetesi kwamba atachukua nafasi ya Zinedine Zidane na kurejea katika ligi ya Primia. (Bwin)
Kocha wa Real Madrid Santiago Solari alipuuza uvumi uliomuhusisha Jose Mourinho na kazi yake na akatoa matamshi ya mzaha kwamba ligi za Uhispania zina ” Watu wanaojifanya kuliko Julia Roberts”. (Evening Standard)
mchezaji wa zamani wa tumu ya Uholanzi Clarence Seedorf, mwenye umri wa miaka 42, anasema itakuwa ni “heshima ” kwake kurejea Real Madrid kama meneja, baada ya kufikiriwa kuchukua kazi hiyo hapo nyuma. (Goal)
0 Comments