Windows

KOCHA AMUNIKE KUTANGAZA KIKOSI KITAKACHOCHEZA VS UGANDA


Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike kesho anatarajia kutangaza majina ya kikosi cha kitakachoanza kambi rasmi kujiandaa na mchezo kufuzu kuelekea AFCON dhidi ya Uganda utakaopigwa Machi 24, 2019.



Post a Comment

0 Comments