Windows

TFF YAGUSWA NA KUFARIKI KWA KIBONDE CLOUDS, YATUMA SALAAM ZA POLE


Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini limetuma pole zake kwa Clouds Media Group kutokana na kufiwa na mmoja wa wafanyakazi wake, Ephraim Kibonde.




Post a Comment

0 Comments