

Habari mpya kutoka Simba usiku huu
Kutoka katika kurasa za mitandao ya Kijamii klabu ya Simba wametoa Taarifa baada ya mchezo kati ya Stand United dhidi ya Simba
Mchezo uliomalizika kwa Stand United kushinda kwa bao 2 kwa 0 mabao ya John Raphael Bocco (Captaaaaain)
Simba wametoa Taarifa kuwa kikosi kitalala jijini Mwanza leo usiku na kesho asubuhi kitarejea jijini Dar Es Salaam.
Kazi ya kutafuta alama 6 za Ligi Kuu dhidi ya Lipuli FC (Iringa) na Stand United (Shinyanga) tumaikamilisha vizuri kwa kupata alama zote 6 na magoli 5. Kikosi leo kitalala jijini Mwanza na kesho asubuhi kitarejea jijini Dar es Salaam. #NguvuMoja




0 Comments