

Dongo la Haji Manara kwa kocha wa Stand United
Baada ya kuifunga Mabao mawili kwa 0 Simba ikicheza na Stand United afisa habari wa Simba Haji Manara amemtupia dongo Kocha wa Stand United
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Haji Manara ameandika Ujumbe huu .
Blaza next time uwe na heshma walau kdogo kwa klabu kubwa ambae ndio Bingwa wa nchi!! Au kumbanjua kwasu ndio na cc ukatuchukulia poa sio!!
Hii ni Simba bana
Hii ni Simba bana




0 Comments