Windows

FT TIME FA : ALLIANCE 1-1 YANGA, MSHINDI KUPATIKANA KWA MATUTA

MCHEZO wa hatua ya robo fainali kati ya Alliance na Yanga Uwanja wa CCM Kirumba umekamilika kwa timu zote kufungana bao 1-1.

Yanga walitangulia kufunga bao dakika ya 38 kupitia kwa Heritier Makambo kipindi cha kwanza na Alliance waliandika bao la kusawazisha dakika ya 63.

Timu zote zilishambuliana kwa zamu na kila mmoja kuonyesha uwezo wake hali iliyosababisha kutoshana nguvu.
Hii inakuwa robo fainali ya kwanza kushuhudia mshindi akipatikana kwa penalti.

Post a Comment

0 Comments