MCHEZO wa hatua ya robo fainali kati ya Alliance na Yanga kwa sasa ni mapumziko ambapo Yanga wanaongoza kwa bao 1-0.
Uwanja wa CCM Kirumba timu ya wananchi inakwenda vyumba vya kubadilishia nguo ikiwa mbele kwa bao moja kwenye mchezo wa robo fainali ya Shirikisho.
Dakika ya 38 Heritier Makambo anaandika bao la kuongoza kwa Yanga akitumia pasi ya Pius Buswita na kuachia shuti kwa mguu wa kulia akiwa nje ya 18.
Mashabiki wamejitokeza kutazama mchezo wa leo huku amshaamsha zikiwa kama zote kwenye mchezo wa leo ambao una ushindani kwa timu zote mbili.

0 Comments