Windows

BREKING: MWALIMU BUKOBA AHUKUMIWA ADHABU YA KUNYONGWA


Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, imemuhukumu Mwalimu Respicius Mtazangira adhabu ya kunyongwa hadi kufa huku ikimwachia huru Mwalimu Herieth Gerald.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano kufuatia washtakiwa hao kukamatwa Agosti, mwaka jana, baada ya kusababisha kifo cha mwanafunzi Sperius Eradius wa shule ya msingi Kibeta mkoani Kagera baada ya kumchapa kwa fimbo zilizopelekea kifo chake.

Kwa taarifa kamili endelea kufuatilia taarifa zetu hapa Saleh Jembe 

CHANZO: AZAM TV


Post a Comment

0 Comments