Windows

Najivunia kuwa wa kwanza kuchora Tattoo ya Rais - Papii Kocha


Msanii wa muziki wa Dansi Nchini, Papii Kocha amesema kuwa anajivunia kuwa wa kwanza kuwa na Tattoo ya Rais.

Papii amesema kuwa Rais anajua kama amechora Tattoo hiyo huku akisema kuwa alivyoenda Ikulu alimwambia.

"Haina ubishi nimechora Tattoo ya Mzee baba , nimechora kwasababu nchi inavyokwenda anafanya, kwahiyo najivunia kuwa na Tatto ya Rais," alisema Papii.

"Mimi ni Mtanzania wa kwanza nafikiri kuwa na Tatoo ya Rais na Rais mwenyewe anajua na nilipoenda aliniambia najua umechora Tattoo mkono wako wa kulia imeandikwa jina langu sasa sikujua alijuaje."

Post a Comment

0 Comments