Windows

VIDEO: Kanisa lateketea kwa moto, Askofu aeleza A-Z

Askofu Pius Rwegasira wa Kanisa la TFE Kwa Neema Kiloleli Ilemela jijini Mwanza leo Januari 23 ameeleza tukio la kuteketea kwa moto kanisa hilo Majira ya saa 8:00 usiku wa kuamkia leo Jumatano.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Post a Comment

0 Comments