Windows

Simba yamaliza hasira zake kwa AFC Leopards

Klabu ya Simba imeweza kuibuka kidedea baada ya kuipiga AFC Leopards mabao 2-1 katika mchezo wa michuano ya SportPesa Super Cup.

Simba ilipata mabao yake kupitia kwa Emmanuel Okwi dakika ya 13 na Chama dakika ya 48 wakati lile la AFC Leopards lilifungwa na Oburu dakika ya 61.

Post a Comment

0 Comments