Windows

Lulu kutaja bei ya kila nguo yake atakayoiuza



Msanii wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael (Lulu) baada ya kutangaza kugawa nguo zake kwa kuziuza huku akisema fedha hizo zitawasaidia watoto Yatima ameeleza kuwa muda si mrefu ataweka nguo zake na bei zake.

Mrembo huyo ametumia mtandao wa Instagram ambapo ametumia Insta story yake ameandika "Soon nitapost nguo zote pamoja na bei zake," aliandika Lulu.

Ameongeza kuwa "Unaweza kununua nguo kwa bei iliyopangwa , lakini kama ukiguswa unaweza kununua kwa bei ya juu zaidi ambayo utaamua mwenyewe.






Post a Comment

0 Comments