LIGI ya Wanawake Tanzania maarufu kama Serengeti Lite Women's Premier League inaendelea leo kwa timu nne kushuka Uwanjani.
Yanga Princess leo watakuwa Uwanja wa Karume wakimenyana na Panama FC na Alliance Girls watamenyana na Tanzanite SC leo Uwanja wa Nyamagana.
Michezo yote itapigwa kuanzaia saa 10:00 jioni, mashabiki wanaombwa kujitokeza kwa wingi kuona ushindani ulivyo kwa mujibu wa Ofisa Habari wa TFF Clifford Ndimbo.

0 Comments