Windows

Alex Ferguson aunana na mchezaji huyu

Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson ameungana na mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Scotland na nahodha wa Liverpoo Graeme Souness ambaye amesema Legend wa Argentina Diego Maradona alicheza kwa kiwango cha juu katika kipindi cha miaka michache.

Souness anasema Messi ni bora zaidi ya Maradona kwa sababu amedumu katika ubora kwa muda mrefu zaidi.

Post a Comment

0 Comments