Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 10.01.2022: Ndombele, Bergwijn, Mbappe, Digne, Schick, Wood

Mchezaji aliyesajiliwa kwa kiasi cha kuvunja rekodi Tanguy Ndombele, kiungo wa kati wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 25, ana matumaini ya kuondoka Tottenham Hotspur mwezi huu.

Post a Comment

0 Comments