Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 11.01.2022: Rudiger, Ake, Modric, Ndombele, Miedema, Vlahovic, Bergwijn, Diallo

Mlinzi wa Chelsea Mjerumani Antonio Rudiger, 28, ambaye mkataba wake unamalizika msimu wa joto na bado hajasaini mkataba mpya na mabingwa hao wa Ulaya, anasemekana kupendelea kuhamia Real Madrid kuliko Paris St-Germain ikiwa ataondoka Stamford Bridge.

Post a Comment

0 Comments