Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 20.12.2021: : Haaland, Silva, Fernandinho, Trippier, Coutinho, Vlahovic

Mkurugenzi mtendaji wa Borussia Dortmund Hans-Joachim Watzke amethibitisha kwamba Real Madrid wana nia katika kusaini mkataba na mshambuliaji Mnorway Erling Braut Haaland, mwenye umri wa miaka 21. (Bild - in German)

Post a Comment

0 Comments