Newcastle United wako makini kuimarisha safu yao ya mashambulizi katika mwezi Januari huku mshambuliaji wa Manchester United Mfransa Anthony Martial mwenye umri wa miaka 26 na mshambuliaji wa Inter Milan Mbosnia Edin Dzeko, mwenye umri wa miaka 35, wakiwa kwenye orodha yao. (Sun)
0 Comments