Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 13.10.2021: Haaland, Sterling, Oxlade-Chamberlain, Dembele, Foden, Lenglet

Wakala wa Erling Braut Haaland, Mino Raiola anatarajiwa kufanya mazungumzo na Manchester City mwezi Januari kuhusu uwezekano wa uhamisho wa mshambuliaji huyo wa miaka 21 wa Borussia Dortmund na Norwayr. (Times, usajili unahitajika required)

Post a Comment

0 Comments