Chelsea wamefanya mazungumzo rasmi na Real Madrid juu ya kumsajili tena mchezaji nyota wa Ubelgiji Eden Hazard.