Windows

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 17.12.2020: Pogba, Tomori, Sanches, Wijnaldum, Williams, Giroud

Juventus wameanza kufanya mazungumzo na wakala wa Paul Pogba, 27, Mino Raiola wakijiandaa kumsajili tena kiungo huyo wa kati wa Manchester. (Express)

Post a Comment

0 Comments