Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 03.01.2021: Pogba, Sancho, Haaland, Pochettino, Mbappe, Diallo, Saliba, Choudhury

Manchester United itamuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27, msimu wa joto baada ya kukubali kuwa hatatia saini mkataba mpya. (Sunday Mirror)

Post a Comment

0 Comments