Windows

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 01.01.2021: Lingard, Wijnaldum, Isco, Khedira, Papastathopoulos

Manchester United imemuongezea kandarasi ya mwaka mmoja kiungo wa kati wa England Jesse Lingard na sasa kandarsi ya mchezaji huyo itakamilika 2022. (Sky Sports)

Post a Comment

0 Comments